Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana AY.Unamudu vizuri hii "Public Speaking".Blog ya jamii juzi mlipost mahojiano ya mwanamuziki Diamond na kituo cha Luninga cha Kenya NTV.Wadau wengi walimshauri Diamond afanye bidii kuinua huo upande wa Mass/public speaking(Na mimi nakubaliana nao).Ingawa kuna tofauti kati ya kufanya mahojiano na kutoa hotuba lakini.....!!!.Mimi naona kuongea na Camera peke yake ni rahisi kuliko kuongea na audience mbele yako au wadau wa PUBLIC SPEAKING mnasemaje?Maana Camera unaongea na audience ambayo hauioni lakini audience inakuona,no more panic,etc.ANGALIZO:Sina upeo mzuri kwenye Mass/public speaking techniques.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...