Meneja wa bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara zawadi kwenye uzinduzi uzinduzi wa bia ya Castle Lager kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika jijini Dar es salaam jana usiku. Wengine kwenye picha ni Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Ceuesta Civis (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche.
Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Ceuesta Civis (kushoto), Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche wakigonganisha glasi kuashiria uzinduzi wa bia ya Castle Lager kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika jijini Dar es salaam jana usiku.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...