Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena Tax kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo wakati wa mkutano mkuu wa 33 wa viongozi wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe Malawi mwishoni mwa wiki.Wapili kushoto ni Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik aliyefika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kumlaki Rais na Ujumbe wake. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Kwa mapicha zaidi ya mkutano huo BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi ya mkutano huo BOFYA HAPA
Mhe. Raisi Kikwete akitoa tabasamu, huku ''akicheka Kitaalamu'' akiwa anawasili.!
ReplyDeleteAkiwa anwasili nyumbani baada ya kumfunika vibaya sana Hasimu wake ktk Suala la Ziwa Nyasa Raisi wa Malawi Mama Joyce Banda zaidi ya MKUKI WA MOYO HUO WA DEGE LA RAISI WA TANZANI YALIOJIRI HUKU JIJINI LILOLNGWE YATA MKOSESHA USINGIZI KWA MUDA FULANI MAMA BANDA ITABIDI AYAMUDU MAJARIBU HADI ASAHAU BIBIE RAISI HUYO KAMA HIVI:
1.''THROUGH OUT THE WHOLE WEEK LONG OF THE SADC SUMMIT MALAWI MEDIA HAS BEEN READING TANZANIAN PRESIDENT JAKAYA KIKWETE JETS IN LILONGWE ABOARD PRESIDENTIAL JET''
2.''MALAWI MEDIA TELLS THE PUBLIC FOREGN AFFAIRS MINISTER Mr. BERNARD C. MEMBE IS ATTENDING THE SADC SESSION ALONG PRESIDENT KIKWET''
3.''MALAWI MEDIA ANNOUNCEC INAUGURATION OF NEW SADC SECRETARY GENERAL TANZANIAN Dr. STIRGOMENA TAX''
Hizo Headline 3 hapo juu ''Vichwa vya Habari'' vya Magazeti ya hayo vitaamuumiza sana mamaa!