Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho kimeisha leo. Kushoto ni Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
Rais wa Dkt. Joyce Banda(wa pili kushoto) Jaji Mkuu wa Malawi Mhe. Anastazia Msosa,na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa (AU) Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma wakimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax baada ya kula kiapo wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...