Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu
Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na
Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa
huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.
Baadhi ya Madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini
China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipozungumza na madaktari hao leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na
madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini
Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari
wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na
Pemba.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
WASIJE WAKAMWAGIWA TINDIKALI ZNZ NI NOMA
ReplyDelete