Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati leo
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr, Mary Nagu na Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto Mbwilo
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama mbolea wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Mbolea cha Minjingu kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati leo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo.
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akizungumza na wanachama wa kikundi cha ushonaji Ufukuba katika banda la kikundi hicho kabla ya kufngua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini babati leo
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati leo
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo mjini Babati |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...