ilikuwa majira ya saa 11.00 alfajiri kwa saa za afrika mashariki, Mtangazaji wa Radio VOA-Kiswahili,mpiganaji Sunday Shomari alisikika akimuhoji Kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU ughaibuni almaarufu "Watoto wa Mbwa" mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mwenye makao kule Ujerumani. 

Katika mahijiano hayo mpiganaji Sunday Shomari alikuwa anataka kujua nini haswa siri ya mafanikio ya Ngoma Africa band, na kwanini ? bendi hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwateka washabiki wa kimataifa kwa kutumia muziki wa dansi. Kamanda Ras Makunja anakumbana na maswali ya asubuhi ! Asubuhi ! tena kawekwa mtu kati na Sunday Shomari ! msikilize at http://www.voaswahili.com/audio/audio/177582.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kaka Sunday Shomari huna uwoga? alfajiri unapiga hodi katika makao ya FFU ? na kufanya mavitu yako

    ReplyDelete
  2. Si mchezo Sunday mkali ,unamweka kikamanda ketu chini ya ulinzi? na
    kumrusha kichura chura na maswali!
    hivi wewe unacheza na WATOTO WA MBWA

    ReplyDelete
  3. Sunday Shomari umejiamini kweli wewe ni mpiganaji na kuvunja geti la FFU tena lenye ulinzi mkali wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Elien"

    ReplyDelete
  4. Sunday mbona ujamuuliza kamanda kuhusu bundi wake ? kwa nini? anafuga bundi

    ReplyDelete
  5. hiiiii!!! Sunday naona bila uwoga unamthibiti Baba mtukutu mtawala wa
    Anunnaki Empire,mlinzi namba One katika kambi ya FFU kamanda Ras makunja aliyeipindia akili kazi yake,
    Kamanda afanyi makosa katika ulinzi

    ReplyDelete
  6. Ras Makunjasss Kamanda.

    Mfafanulie Sunday Shomari ya kuwa jingine la siri ya Mafanikio yako huko Ujerumani ni KUMUHESHIMU MWENYEJI WAKO UJERUMANI KWA KUMTUMIA NDEGE BUNDI KUMFUGA NYUMBANI KWAKO ''ANUNNAKI EMPIRE'' KAMA ALAMA YA HESHIMA KWA WAJERUMANI KWA KUWA NGAO AU NEMBO YA UJERUMANI INA ALAMA YA NDEGE!

    ReplyDelete
  7. Sunday wee uogopi kambi ya ffu au unamchezea simba masharubu

    ReplyDelete
  8. Kweli wale Bundi sio bure lazima wajerumani watoe kila nafasi kwa
    kikosi cha FFU aka ngoma africa band bin watoto wa mbwa

    ReplyDelete
  9. Ngoma Africa aka ffu hawafanyagi makosa ukikatiza anga zao tuu umekwisha

    ReplyDelete
  10. Mtawala wa viumbe hatari Anunnaki,kamanda mkuu wa kikosi mahalumu ughaibuni field marshal
    ras makunja nakupongeza kwa kaza yako
    ya kutuliza ghasia

    ReplyDelete
  11. Kamanada unawawekea mkwala majirani zako kwa kufuga bundi ????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...