ilikuwa majira ya saa 11.00 alfajiri kwa saa za afrika mashariki,
Mtangazaji wa Radio VOA-Kiswahili,mpiganaji Sunday Shomari
alisikika akimuhoji Kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU
ughaibuni almaarufu "Watoto wa Mbwa" mwanamuziki Ebrahim
Makunja aka Kamanda Ras Makunja mwenye makao kule
Ujerumani.
Katika mahijiano hayo mpiganaji Sunday Shomari
alikuwa anataka kujua nini haswa siri ya mafanikio ya Ngoma Africa band,
na kwanini ? bendi hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwateka washabiki
wa kimataifa kwa kutumia muziki wa dansi.
Kamanda Ras Makunja anakumbana na maswali ya asubuhi ! Asubuhi !
tena kawekwa mtu kati na Sunday Shomari ! msikilize at
http://www.voaswahili.com/audio/audio/177582.html
Kaka Sunday Shomari huna uwoga? alfajiri unapiga hodi katika makao ya FFU ? na kufanya mavitu yako
ReplyDeleteSi mchezo Sunday mkali ,unamweka kikamanda ketu chini ya ulinzi? na
ReplyDeletekumrusha kichura chura na maswali!
hivi wewe unacheza na WATOTO WA MBWA
Sunday Shomari umejiamini kweli wewe ni mpiganaji na kuvunja geti la FFU tena lenye ulinzi mkali wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Elien"
ReplyDeleteSunday mbona ujamuuliza kamanda kuhusu bundi wake ? kwa nini? anafuga bundi
ReplyDeletehiiiii!!! Sunday naona bila uwoga unamthibiti Baba mtukutu mtawala wa
ReplyDeleteAnunnaki Empire,mlinzi namba One katika kambi ya FFU kamanda Ras makunja aliyeipindia akili kazi yake,
Kamanda afanyi makosa katika ulinzi
Ras Makunjasss Kamanda.
ReplyDeleteMfafanulie Sunday Shomari ya kuwa jingine la siri ya Mafanikio yako huko Ujerumani ni KUMUHESHIMU MWENYEJI WAKO UJERUMANI KWA KUMTUMIA NDEGE BUNDI KUMFUGA NYUMBANI KWAKO ''ANUNNAKI EMPIRE'' KAMA ALAMA YA HESHIMA KWA WAJERUMANI KWA KUWA NGAO AU NEMBO YA UJERUMANI INA ALAMA YA NDEGE!
Sunday wee uogopi kambi ya ffu au unamchezea simba masharubu
ReplyDeleteKweli wale Bundi sio bure lazima wajerumani watoe kila nafasi kwa
ReplyDeletekikosi cha FFU aka ngoma africa band bin watoto wa mbwa
Ngoma Africa aka ffu hawafanyagi makosa ukikatiza anga zao tuu umekwisha
ReplyDeleteMtawala wa viumbe hatari Anunnaki,kamanda mkuu wa kikosi mahalumu ughaibuni field marshal
ReplyDeleteras makunja nakupongeza kwa kaza yako
ya kutuliza ghasia
Kamanada unawawekea mkwala majirani zako kwa kufuga bundi ????
ReplyDelete