Mmbando akitoa ufafanuzi juu ya mshindi huyo alivyopatikana kabla ya kumkabidhi hati yake ya nyumba leo
Ofisa mahusiano wa Airtel Bw Jackson Mmbando akionyesha hati ya nyumba
Mshindi wa nyumba ya Airtel yatosha akisoma hati ya nyumba yake aliyoshinda baada ya kukabidhiwa leo
Mshindi wa nyumba ya Airtel Yatosha akionyesha hati yake ya nyumba aliyokabidhiwa leo,huku akiwa na wafanyakazi wenzake waliofika kushuhudia
Ofisa mahusiano wa Airtel Bw Jackson Mmbando akimkabidhi mke wa mshindi wa nyumba ya Airtel yatosha Bw Sylivanus Juma Wanga Bi Veronica Wanga huku kushoto mume wake ambae ni mshindi akishuhudia mshindi huyo ni mhasibu wa taasisi isiyo ya kiserikali ya TARWOC inayojihusisha na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia mkoa wa Iringa ,wengine pichani ni wafanyakazi wenzake waliofika kushuhudia hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya M.R mjini Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...