Kushoto Hellena Nyerere akiwa mama Kimolo mwenyekiti wa UWT-DMV , mdau na Julia Nyerere katika Picnic ya wana DMV iliyofanyika huko Wheaton Md mwishoni mwa juma.

Kushoto mwenyekiti wa CCM DMV Bw.George Sebo akifuatiwa na Mama Kimolo na Katibu wa CCM-DMV Bw.Yakub Kinyemi.

Bi.Grace Sebo mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya CCM DMV na dada Asha Hariz wa kundi la Tano Ladies wakijaza mapendekezo yao ya marekebisho ya katiba
Brigedia General Maganga mwmbata wa kijeshi Washington Dc akiwa na Abbas akifuatiwa na Emanuel Muganda na Fella.Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...