Pamoja na kumuwezesha mtu anayesafiri ndani ya Tanzania kulipia huduma za malazi katika hoteli 142 zilizopo katika Mikoa mbalimbali nchini Tanzania kwa njia ya mtandao, Vinjari (www.vinjari.co.tz) imeanzisha huduma mpya ya kununua tiketi za ndege mtandaoni.
Kwa kushirikiana na kampuni ya Coastal Aviation, sasa mtu yeyote anayetarajia kusafiri kwa njia ya ndege, anaweza kulipia tiketi yake kwenda katika Mikoa mbalimbali Nchini Tanzania pamoja na Nchi za jirani za Uganda, Rwanda na Msumbiji kwa kupitia Vinjari.
Huduma za malipo zinafanyika kwa kupitia Mpesa, Tigo Pesa, pamoja na kadi za Benki za Visa na MasterCard. Tembelea https://vinjari.co.tz/v.php? listing=coastalkwa maelezo zaidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...