Ankal akipatana bei ya urembo wa kitamatuni na kinamama wajasiriamali wa kabila la Wahimba katika mtaa wa Independence jijini Windhoek. Kabila hili ambalo linaendelea kudumisha mila na utamaduni wa Mwafrika huishi Kaskazini mwa Namibia katika mkoa wa Kunene (zamani Kaokoland) na pia hupatikana upande wa pili wa mto Kunene nchini Angola. Lugha inayotembea hapo ni Kiingereza na ishara, ni watu wacheshi na hodari sana kwa biashara. Miili yao imepakwa mafuta ya kondoo na udongo mwekundu ili kujikinga na jua.
Home
Unlabelled
ankal akiwa shopping jijini Windhoek, namibia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
'Safi na NADHIFU' ndo yale yale ya Barabara ya Morogoro ROAD. Hapo hukutakiwa kulitumia tena neno NADHIFU madhali umeshalisema SAFI tayari. Labda ingelikuwa kwenye sentesi tofauti, lakini sio hapo kwa hapo ...safi na nadhifu... Nadhifu ni neno la kiarabu likimaanisha Safi/Usafi.
ReplyDeleteNadhani bado kuna ugumu katika utumiaji wa Kiswahili fasaha, khususan kwenye maana na matumizi ya baadhi ya maneno/misamiati yake.
Ukaamua kabisa uchuchumalie kwa ukaribu zaidi hivi ni kweli ama naota chifua wazi???Unanikumbusha Putin alivyopata mshtuko wa kuona chifua
ReplyDeleteankal upo Namibia au Swaziland hapo? LOL. Ngoja waosha vinywa waone hii..te te te ha ha ha ha!
ReplyDeleteAnkal tueleze ulikuwa unauliza bei au ulikuwa ungalia hao akina mama hapo sema ukweli kaka.
ReplyDeleteKunene?
ReplyDeleteWanaishi Kusini mwa Namibia???????????
Wanaishi Kasikazini mwa Namibia!
Baba nashukuru kwa kaupapalazi wako unanikumbusha enzi zako ukipigia gazeti la mfanyakazi, Ila kwa hiyo picha nawaomba wakae ukouko hapa Dar hapafai ila baba kwa sisi ambao hatukunyonya udogoni mmmmmmmmmmmm,
ReplyDeleteafu ankol ivi kwa mwezi wa ramadhani inakuwaje na tamasha la asilia likawa linafanyika zanzibar na mgeni rasimi sheh Ponda na banda la kuanzia ndo hilo Hammad,,,,,,,,
Michu mbona kama huangalii bidhaakwani macho yako yapo ktk hizo 'chuchuzzzz?
ReplyDeleteTTZ!!!!!! I love TTZ. Ila cameraman angezoom kidoogo ingependeza zaidi
ReplyDeleteHeh, kwa kweli ni hatari kubwa ila inapendeza sana. Nina declare interest yangu jamani, mimi kamwe nisingeweza kustahamili kuona 'uhondo' kama huu bila ya kufikiria 'kumrukia' mmoja wapo!!! Haifai kuona mambo haya jamani kwa sisi marijali. Michu wewe ulishinda majaribu na hongera kwa hilo.
ReplyDeletesafi sana kaka michuzi nimeipenda sana ulivyowatembelea hawa wa mama wa kijasiliamali. me natoa changamoto hata kwa wamama wa kitanzania lets them do as these women
ReplyDeleteKaka Michuzi, watumie watu ambao wanashabikia mavazi ya kimashariki kuwa ni ya kiafrika wajue kuwa mwafrika hakuficha matiti yake kabla ya kuingia wageni wala maungo. Turudi tulikotoka na watu wakizoea kubaka kutaisha.
ReplyDeleteMichu wewe unanunua au unawacheki warembo?
ReplyDeleteAnkal, tafadhali uwe unaangalia/unapitia vizuri/kwa makini maelezo yako kabla ya kuyaachia yaende hewani, wanaishi Kaskazini hawa watu aisee.
ReplyDeleteNashukuru sana na kazi njema
anko wewe, ulchuchumaa kusudi ucheki nanihiii nini?
ReplyDeleteMichuzi bana naulizwa huku kuhusu upstairs teh teh
ReplyDeleteTusiende mbali sna miaka kama kadhaa iliyopita, hata hapa hapa Tanzania watu walikua wanavaa, tukiachia na Dini, zilikua zimeshaingia,lakini watu walikua wanavaa? zaidi zaidi wanawake maziwa wazi, na kujifunga ukwiju tu,mama akinyonyesha mtoto atalichezea hilo ziwa weee na kulivuta tena mbele za watu,na huko kwenye nyakati za darck continental, ndio kabisa ni mwendo mmja tu wa kwenda kama tulivyozaliwa, sana sana labda kujifunga ukwiju, na watu walikua wanaishi vizuri, bila tamaa, za kubaka, vijitoto mpaka wanawake,na kila mmja anamuona mwenzake kawaida tu, Mwafika kiasili nguo tumechelewa sana kugundua zaidi ya kuvaa majani, mpaka tulipoletewa na hao wenzetu. nduguzetu, hawa binamu zetu. Laikini sisi wenyewe mmmmhh, ni mtindo mmja wa natur, bila kubadilishwa nadhani ingendelea mpaka hivi sasa, ni asili kwa kwenda mbele, na vingekuwa na vijumba vyetu vya udongo
ReplyDeleteAnkal hahahaha ulifanya manunuzi?
ReplyDeleteAnkal Michu. Yaani ulivotumbulia macho kwa kifua cha dada mpaka unachekesha!
ReplyDeleteNunua basi uende, unaulizia bei masaa mawili?
du hapo michu unakula chabo tu mzee hakuna kupatana bei wala nini-ha hahahahaha!
ReplyDeleteweye unaepiga picha nahawa watu na kuweka watu waone sijui unafikiria nini,
ReplyDeletekaa uifikirie nafsi yako na ufikirie unayoyatenda,
mungu akuongoze.
Hapo Ankal macho kwenye chuchu tu. Hawezi hata kuficha!
ReplyDelete