Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) Iringa Mhadhamu Owdenburg Mdegela (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Habari Assah Mwambene (kushoto) leo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) Mkoa wa Iringa Mhadhamu Owdenburg Mdegela (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari (MAELEZO) Assah Mwambene ofisini kwake alipotembelewa jijini Dar es Salaam. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...