Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mhe.Deodorus Kamala(,mwenye suti) akitoa maelezo kwa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ambae ameongoza ujumbe wa Wabunge wawili na watumishi nchini Ubelgiji kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa wabunge toka nchi za Afrika,Carribbean na Pacific. Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum Dr Mary Mwanjelwa na Katibu wa Msafara huo Bw.Aggrey Nzowa ambae pia ni Mkurugenzi Msaidizi (Huduma za Maktaba) katika Ofisi ya Bunge.

Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia) akifuatilia kwa makini maelezo ya Balozi Kamala.
Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
Hayo maviti!
ReplyDeleteKama ya nyumbani. Hivi budget ya Ubalozi inaruhusu kununua vitu vya gharama nama hiyo. Juzi nimeenda katika ofisi za wilaya pale Magomeni kwa kweli zie ambazo ziko katika bwalo kubwa lile halifai kabisa. Nimewasikia maofisa wakilalamika mazingira wanayofanyia kazi ni mavumbi tokea ardhini, kuta milango hewa hamna kabisa. Juu bat. Halafu ubalozi utafikiri wa nchi ya Marekani what a contrast.
ReplyDelete