Balozi wa Sierra Leone Ubelgiji Mhe. Ibrahim Sorie akizungumza na Balozi
wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye
rangi za bendera ya taifa). Balozi Sorie alifika kwenye ofisi za Ubalozi
wa Tanzania Ubelgiji kushauriana na Balozi Kamala kuhusu masuala
mbalimbali ya Kidiplomasia.
Home
Unlabelled
Balozi wa Sierra Leone amtembelea Balozi Kamala - Brussels
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tazama nguo yake ilivyompendeza. Anajivunia utamaduni wake.
ReplyDelete