KWA KULA SAMAKI HUYU MWENYE GAMBA GUMU AINA YA OYSTER AU CHAZA KWA KIMATUMBI, KUNA UWEZEKANO WA ASILIMIA 99 KUONGEZA HESHIMA YA BOMA (NGUVU ZA KIUME) NDANI YA DAKIKA 10 TU
UKIMLA HUYU CHAZA UTAKUA NA NGUVU ZA KAWAIDA TU KAMA BINADAMU WENGINE BILA MADHARA KWA MWILI WAKO AU MWILI WA MWENZI WAKO BADALA YA KUTUMIA DAWA ZENYE MADHARA NA MWILI WAKO NA KWA MWENZI WAKO....
KAMA UNAONA KINYAA BASI MWAGIA CHUMVI NA LIMAO KISHA MLE TARATIBU
PIA UNAWEZA MMWAGIA BALSAMIC VINEGAR AU SIKI KUONGEZA LADHA
VIPANDE VIWILI AU VITATU VINATOSHA KABISA KWA DOZI UNASHAURIWA KULA MARA MOJA KWA WIKI, KAMA MBICHI INAKUSHINDA UNAWEZA KULA WALE WA KWENYE MAKOPO, AU WA KUCHEMSHWA LAKINI USILE WA BBQ AU WA KUKAANGA KABISA UKIMALIZA KULA TU BAADA YA DAKIKA 10 MAJIBU UTAYAONA.
Kwa taarifa kamili tembelea libeneke la Chef Issa
BOFYA HAPA
Ahaa kwahiyo chief Issa ni muhitaji wa huduma hii sio?kwa maneno mengine amechoka?Ni njia nzuri kweli ya kurudisha heshima kama chief issa.
ReplyDeleteAisee ndiomaana watu wa pwani wana wake wengi kumbe siri ya urembo ni chaza hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete
ReplyDeleteUTAFITI HUU UMEJIFANYIA MWENYEWE CHEF? JE HAIWEZI KUZIDI NGUVU ENDAPO UTAKULA WATANO AU SITA? SI MBAYA KULA CHAKULA KULIKO VIDONGE INGAWAINATAKA MOYO ANATISHA HUYU CHAZA MHHHHH
UK
ReplyDeleteGGOD ONE CHEF KEEP UP THE SPIRIT
USA
ReplyDeleteKina mama mmesikia chaza anaweza fanya maajabu kwa mzee haya jitaidini wawepo kwenye friji zenu wakati wa msosi unamtolea mzee na ka chaza kidogo wajameni imekaa patamu san hii
Mdau Mwanza
Na pweza jee? nasikia yeye ndiyo kiboko yao.
ReplyDeleteMazao ya pwani hayooooo!
Anaitwaje kwa kiingereza?
ReplyDelete