KWA KULA SAMAKI HUYU MWENYE GAMBA GUMU AINA YA OYSTER AU CHAZA KWA KIMATUMBI,  KUNA UWEZEKANO WA ASILIMIA 99 KUONGEZA  HESHIMA YA BOMA (NGUVU ZA KIUME)  NDANI YA DAKIKA 10 TU 
UKIMLA HUYU CHAZA UTAKUA NA NGUVU ZA KAWAIDA TU KAMA BINADAMU WENGINE BILA MADHARA KWA MWILI WAKO AU MWILI WA MWENZI WAKO BADALA YA KUTUMIA DAWA ZENYE MADHARA NA MWILI WAKO NA KWA MWENZI WAKO.... 


KAMA UNAONA KINYAA BASI MWAGIA CHUMVI NA LIMAO KISHA MLE TARATIBU


 PIA UNAWEZA MMWAGIA BALSAMIC VINEGAR AU SIKI KUONGEZA LADHA


VIPANDE VIWILI AU VITATU VINATOSHA KABISA KWA DOZI UNASHAURIWA KULA MARA MOJA KWA WIKI, KAMA MBICHI INAKUSHINDA UNAWEZA KULA WALE WA KWENYE MAKOPO, AU WA KUCHEMSHWA LAKINI USILE WA BBQ AU WA KUKAANGA KABISA UKIMALIZA KULA TU BAADA YA DAKIKA 10 MAJIBU UTAYAONA.
Kwa taarifa kamili tembelea libeneke la Chef Issa
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ahaa kwahiyo chief Issa ni muhitaji wa huduma hii sio?kwa maneno mengine amechoka?Ni njia nzuri kweli ya kurudisha heshima kama chief issa.

    ReplyDelete
  2. Aisee ndiomaana watu wa pwani wana wake wengi kumbe siri ya urembo ni chaza hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

  3. UTAFITI HUU UMEJIFANYIA MWENYEWE CHEF? JE HAIWEZI KUZIDI NGUVU ENDAPO UTAKULA WATANO AU SITA? SI MBAYA KULA CHAKULA KULIKO VIDONGE INGAWAINATAKA MOYO ANATISHA HUYU CHAZA MHHHHH

    UK

    ReplyDelete

  4. GGOD ONE CHEF KEEP UP THE SPIRIT

    USA

    ReplyDelete

  5. Kina mama mmesikia chaza anaweza fanya maajabu kwa mzee haya jitaidini wawepo kwenye friji zenu wakati wa msosi unamtolea mzee na ka chaza kidogo wajameni imekaa patamu san hii

    Mdau Mwanza

    ReplyDelete
  6. Na pweza jee? nasikia yeye ndiyo kiboko yao.

    Mazao ya pwani hayooooo!

    ReplyDelete
  7. Anaitwaje kwa kiingereza?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...