Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nimependa ukijani wetu,majiji mengine hawana huo ukijani,wito wangu tuendeleeni kupanda miti kwa sn

    ReplyDelete
  2. Mji wa Ahadi Bongo Daslam ,uliopo kwenye nchi ya Ahadi,nchi ya matumaini TANZANIA!

    ReplyDelete
  3. Jiji la Darisalama,

    Madiaspora na Wandugu zetu Majuu, tofauti iliyopo kati ya huko Majuu mlipo na Jiji hili AMINI USIAMINI inazidi kuwa ndogo siku hadi siku!!!

    Msijenge mtazamo mliozoea kuwa nao wa kuwa Bongo hakuna maisha.

    ReplyDelete
  4. Anon unaedhani kwamba tofauti kati ya jiji na Dar es Salaam na huko wanakokaa madiaspora inazidi kua ndogo, basi fikiri zaidi. Majengo mengi unayoyaona hapo Dar hayana maji wala vyoo visafi. Pia hakuna umeme wa uhakika na hivyo mara nyingi yanaambatana na kelele za jenereta. Haya ni machache tu, kuna tofauti nyingine nyingi tu

    Mdau,

    Manzese darajani

    ReplyDelete
  5. Asante wa daraji! Mi niko hapa Murahati na nikiangalia miji mikuu ya nchi nyingine Dar ni uchafu mtupu kwa kuona tu kabla hata hujaingia ndani kwenye maji umeme na vyoo! Angalia google Nairobi, Kampala, Kigali. Dar ni kama suburb!

    ReplyDelete
  6. Hahahahaha michuzi we kweli noma, yaani juzi nimekuomba utuletee video na picha za dar es salaam ili tulinganishe na kule Namibia ulikokua, naona ombi umelitekeleza kiujanjaujanja yaani umeletea picha ya dar ila kwa juu, hahahaha tuletee mitaa bwana ili tuone jinsi jiji lilivyo safi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...