Waziri wa afya wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (pichani)amesema pamoja na serikali ya Tanzania kutimiza lengo la nne la milenia ambalo ni kupunguza vifo vya watoto wa chini ya miaka mitano, taifa hilo bado lina wajibu wa kuhakikisha malengo mengine yaliyosalia yanatimizwa hata baada ya ukomo wa malengo hayo mwaka 2015. 

 Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa Mwinyi amesema wamewasilisha mapendekezo yao kwenye baraza kuu ya kutana kutimiza malengo yaliyosalia na pia kuunda malengo mapya. Ameketi na Flora Nducha kufafanua yote hayo akianza na malengo yahusuyo afya. 

Kusikiliza bofya http://www.Radio.un.org/sw 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...