Kwa jina la kisanii anajulikana kama Allan Kingdom , kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 19 tu, aitwaye kwa jina halisi Allan Kyariga ambaye hivi sasa amepamba moto nchini Marekani baada ya kutoa video ya wimbo ‘Mediocre’ ambao unaongelewa kila mahali Nasi hatutaki wadau mpitwe na na habari ya huyu msanii i mpya wa Kitanzania ambaye anaelekea kufanya makubwa ughaibuni. Hapo chini ni baadhi tu ya media links zinazoongelea kipaji chake.
Artist: Allan Kingdom
Song: "Mediocre"
Producer: Allan Kingdom
EP: Talk To Strangers
Director: Francisco Bibiloni
Big up, kijana
ReplyDelete