Katibu
Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi kutoka vyama vya upinzani
baada ya wananchi wengi kuridhika na hotuba yake nzuri, katika mkutano
huo zaidi ya wanachama 560 wamejiunga na CCM kutoka vyama vya upinzani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kahama wakati mkutano wa hadhara uliofanika leo mjini Kahama.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye akiwa na mbunge wa Msalala Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya wakazi wa Isaka kabla ya kuhutubia kwenye mkutano wa Hadhara.

Sehemu ya Umati uliofurika kusikiliza hotuba za viongozi mahiri wa CCM, Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye leo kwenye viwanja vya CDT mjini Kahama.
Mhe. Abdulrahman Kinana chapa kazi!
ReplyDeleteOperesheni Kimbunga ipo katika Chama na Serikali!
Operesheni Kimbunga Serikalini ni kuwa furusha Wageni haramu nchini, wakati Upande wa Chama ni Wananchi halali kiingia kwenye chama cha Watanzania ambacho ni CCM.
Mhe. Kinana kadi alizoshikilia kutoka Vyama vya Upinzani amethibitisha ya kuwa Watanzania kamili kama yeye hujiunga na CCM!