Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ...bottom line. western democracy ni idadi ya watu. Hata kama watu wawili wanaongea jambo la busara dhidi ya watu mia. wengi wape, zaidi ya hapo mtapigana mapaka mfe.

    ReplyDelete
  2. kama "bottom line democracy ni idadi ya watu"basi marekani utumwa ungekuwa mpaka leo wazungu ndio wengi walipigia kura ubaguzi uendelee, kuna issue za haki abazo haziitaji kura ya wingi zinzhitaji busara na hekima , rudi shule Anonymous hapo juu!

    ReplyDelete
  3. Toa somo Anonymous wa September 17, 2013. Nakuunga mkono maana siye hatujui maana ya Demokrasia, Bongo, kama Anonymous wa kwanza, wanadhani Demokrasia ni walio wengi kila wakati. Lakini si hivyo, mala nyingi walio wachache nao lazima wasikilizwe. Demokrasia ya kweli nikuwa na "busara na hekima"(mdau#2).

    ReplyDelete
  4. Kwanza mimi naona wanaozungumzia busara CCM hawakutumia busara na baadae Kama kawaida Yao ubabe Ndio zaidi mtoweni Huyo jamaa akapigwa chuchuli Ndio hivyo tena ,mimi naungana sana na wadau wa mkono wa kushoto waliovaa nyekundu walichozungumza juju ya mstari. Bwana JABIRI na wenzako nakuombeni NEXT time Hebu tuwekeeni mada ya MUUNGANO WETU. Jee Wazanzibari bado wanautaka au hawautaki wamechoka nao. Na Kama hawautaki mini cha kufanya.

    ReplyDelete
  5. Kwani utumwa marekani umeisha? You must be kidding me... and it will never end ..kwa kuwa watu weusi hawachapwi viboko basi utumwa umeisha...? Labda tuchukulie utumwa umeisha on your mind... kilichotokea bungeni ni process ya demokrasia.. utumwa ni civil rights..sijui umeenda shule gani labda JF. Ni vitu viwil tofauti..

    ReplyDelete
  6. KIPINDIKIZURI NAKIMEBORESHWASAANA KWENYE EDITING LAKINI MBONAKAACHA KUWEKAPICHA ZINAZOENDANA NA MADA PILITUNAHITAJI SIRIAZKOMED

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...