Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkaribisha Bw. Xie Yunliang, Konseli Mkuu (Consul General) wa Jamhuri ya Watu wa China kule Zanzibar.
Mhe. Maalim akisoma Hati za Uwakilishi wa Konseli (Exequatur) baada Konseli Mkuu Xie Yunliang kuziwasilisha.
Konseli Mkuu XieYunliang akiongea na Mhe. Naibu Waziri Maalim.
Kikao kikiendelea.Picha na Reginald Phillip
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...