Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(wa pili kushoto) akiwa kwenye maadamano na wachezaji wa Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa wakelekea katika Hospitali ya Rufaa ya Manispaa ya Iringa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kabla ya kuanza mashindano hayo leo.
Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(kushoto) akimkabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Manispaa ya Iringa, Rustila Tung’ombe baadhi ya vitu walivyotoa msaada katika Hospitali hiyo ambavyo ni pamoja na Sindano,Cloves,Sabuni na Machungwa kabla ya kuanza kwa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa leo.
Diwani wa Kata ya Kitanzini Mkoani Iringa,Madam Jesca Msavatangu(katikati) akicheza pool kuashilia uzinduzi wa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yanayofanyika katika Ukumbi wa Olfare mkoani humo leo.
Mchezaji wa kike wa Pool wa mkoa wa Iringa, akimkabidhi mama na moto zawadi ya Sabuni na machungwa kama pole wakati vilabu vya mkoa wa iringa vilipokwenda kutoa pole na vifaa mbalimbali kwa wagongwa kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yalioanza jana mkoani humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...