MH. MUNDE TAMBWE (KATIKATI), MBUNGE WA VITI MAALUMU NA MJUMBE WA NEC, MGENI RASMI MAHAFARI YA DARASA LA SABA KATIKA S/M ISIKE MJINI TABORA LEO
KUSHOTO NI KADUCHA J, ZINDUNA KISAMBA, CHARLES KIDIFU, MUNDE TAMBWE, ALLY KITENGE (M/KITI KAMATI YA SHULE)
MGENI RASMI AKIKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU
KATIKA MAJIBU YA RISALA YAKE AMETOA TASILIMU LAKI TATU (300,000/=) KAMA MCHANGO KWA BAADHI YA MAPUNGUFU YALIYOPO SHULENI HAPO.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwandishi umejitahidi matumizi ya 2L" na ya "R", ila umechemka sehemu moja tu, kwani ni "MAHAFALI" na siyo mahafaRI.

    ReplyDelete
  2. Na mie ndio kinachonikera, Michuzi posti zenye kiswahili kibovu huwa unaziweka tu na wewe ni mtu unaye heshimika katika uandishi hebu tafuta mtu akusaidie kuedit kabla ya kupost usifanye vitu bora liende, hujui jinsi watu tunavyo kuheshimu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...