MH. MUNDE TAMBWE (KATIKATI), MBUNGE WA VITI MAALUMU NA MJUMBE WA NEC, MGENI RASMI MAHAFARI YA DARASA LA SABA KATIKA S/M ISIKE MJINI TABORA LEO
KUSHOTO NI KADUCHA J, ZINDUNA KISAMBA, CHARLES KIDIFU, MUNDE TAMBWE, ALLY KITENGE (M/KITI KAMATI YA SHULE)
MGENI RASMI AKIKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU
KATIKA MAJIBU YA RISALA YAKE AMETOA TASILIMU LAKI TATU (300,000/=) KAMA MCHANGO KWA BAADHI YA MAPUNGUFU YALIYOPO SHULENI HAPO.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


Mwandishi umejitahidi matumizi ya 2L" na ya "R", ila umechemka sehemu moja tu, kwani ni "MAHAFALI" na siyo mahafaRI.
ReplyDeleteNa mie ndio kinachonikera, Michuzi posti zenye kiswahili kibovu huwa unaziweka tu na wewe ni mtu unaye heshimika katika uandishi hebu tafuta mtu akusaidie kuedit kabla ya kupost usifanye vitu bora liende, hujui jinsi watu tunavyo kuheshimu
ReplyDelete