Home
Unlabelled
RAIA WA MALAWI WAJIANDIKISHA OFISI ZA UHAMIAJI JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nawapenda sana wamalawi ni watu wastaharabu sana. Na nimefurahi jinsi serikali inavyowasaidia kujihalalisha , hawa jamaa ni waaminifu sana aisee.Muweke Mmalawi sehemu yoyote haibi.
ReplyDeleteNao watalipia residence permit shs 400,000 kama wahamiaji wa kanda ya ziwa? Au kuna sharia ya wahamiaji wa Malawi na wahamiaji wengine?
ReplyDeleteSiyo kweli. Wengi tumeathirika na Wamalawi. Wanashirikiana na majambazi kuchora mikakati. Wanarubunika kiurahisi sana. Chunga!
ReplyDeleteHii ni ufuataji wa mipaka ya kikoloni. Hawa ni Afrikans and Tanzania is in Afrika they are home.
ReplyDeletemi naishangaa Tanzania mnawapa raia wa kigeni makazi ya kudumu na hata uraia lakini watanzania original walioenda nje kusoma kwa shida hadi kuamua kuchukua uraia kwa nia ya kusoma ili warudi nyumbani kusaidia maendeleo hamtaki kuwakubali tena. hii inasikitisha na mungu atujaalie tuzidi kuwa masikini wa mali na roho.hii nchi inaendeshwa na nani.
ReplyDelete