Raia wa Malawi wakijiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam katika  zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Picha  na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nawapenda sana wamalawi ni watu wastaharabu sana. Na nimefurahi jinsi serikali inavyowasaidia kujihalalisha , hawa jamaa ni waaminifu sana aisee.Muweke Mmalawi sehemu yoyote haibi.

    ReplyDelete
  2. Nao watalipia residence permit shs 400,000 kama wahamiaji wa kanda ya ziwa? Au kuna sharia ya wahamiaji wa Malawi na wahamiaji wengine?

    ReplyDelete
  3. Siyo kweli. Wengi tumeathirika na Wamalawi. Wanashirikiana na majambazi kuchora mikakati. Wanarubunika kiurahisi sana. Chunga!

    ReplyDelete
  4. Hii ni ufuataji wa mipaka ya kikoloni. Hawa ni Afrikans and Tanzania is in Afrika they are home.

    ReplyDelete
  5. mi naishangaa Tanzania mnawapa raia wa kigeni makazi ya kudumu na hata uraia lakini watanzania original walioenda nje kusoma kwa shida hadi kuamua kuchukua uraia kwa nia ya kusoma ili warudi nyumbani kusaidia maendeleo hamtaki kuwakubali tena. hii inasikitisha na mungu atujaalie tuzidi kuwa masikini wa mali na roho.hii nchi inaendeshwa na nani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...