Home
Unlabelled
TASWIRAZZ MBALI MBALI ZA KUZAMA KWA JUA JIONI YA LEO ENEO LA GAIRO MKOANI MOROGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unastahili pongezi Kazi nzuri saana this is what we need to comment on it sio mambo mengine hiyo ni vew nzuri saaana unapashwa kuonyesha mda na tarehe ili ukifanya ivo baada ya miaka mitano tuweze kulinganisha mabadiliko na tabia nchi
ReplyDeleteThis is the most beautiful sunset I have ever seen you are a genius. My son would have love this. Not so many Tanzanians appreciate this kind of art.
ReplyDeleteGreat. Keep it up.
ReplyDeleteNapenda sana picha za jua linapozama. Umepiga picha nzuri sana. Ahsante.
ReplyDeleteYaani nakubaliana na wadau hapo juu kwa kweli mandhari ni nzuri sana na umeipatia kwa picha vizuri.
ReplyDeleteNice pics. Weka kwenye frame,clothing art,kitenge etc. fanya biashara,very unique print,try it.
ReplyDelete