Afisa wa Ubalozi wa Tanzania Lusaka Zambia Bw. Jeswald Majuva (kulia) akiangalia Baadhi ya bidhaa Za wajisiriamali zinazoonyeshwa kwenye maonyesho ya LUSAKA yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya kikundi cha Handproducts of Tanzania na Ubalozi wa Tanzania  jijini Lusaka,  Zambia
 Baadhi ya bidhaa Za Tanzania zinazoonyeshwa nchini Zambia
 Baadhi ya wajisiriamali wa Tanzania walioshiriki maonyesho yaliyoandaliwa Kati ya kikundi cha Handproducts of Tanzania na Ubalozi wa Tanzania Lusaka Zambia
 Baadhi ya bidhaa Za wajisiriamali zinazoonyeshwa kwenye  maonyesho yanayofanyika kwenye Ubalozi wa Tanzania jijini Lusaka, Zambia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...