Mshikamano: Wenyeviti wa vyamba vya upinzani nchini wakishikana mikono kuonyesha mshikamano kabla ya kuanza mkutano kwenye Uwanja vya Kibandamaiti, Zanzibar leo.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) akiteta jambo la Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Joseph Mbatia wakati wa mkutano wa kuungwa mkono na wananchi katika upatikanji wa katiba mpya.

Umati: Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kutafuta katiba mpya.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa kuungwa mkono na wananchi katika upatikanaji wa katiba mpya.
Lipumba akisalimiana na Mbowe. Picha kwa hisani ya Global Publishers 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona maalim seif hayuko ktk hiyo game??

    ReplyDelete
  2. Maalim Seif watakuwa wamemtenga kama "Tanzania tulivyotengwa Jumuiya ya Africa Mashariki"

    ReplyDelete
  3. KIKUBWA ZAIDI NI KUFIKISHA UJUMBE KWA WANANCHI NA SI KWA MAALIM SEIF, WADAU HAPO JUU NADHANI MMEIPATA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...