Muongozaji wa Wataalii,Marinus Hurter akitoa maelezo kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Tanzania na Kenya waliofanya ziara kwenye mapango ya Cradle of Humankind and Wonder,yaliopo katika mji wa Gauteng nje kidogo ya Jiji la Johannesburg,Afrika Kusini.Waandishi hao wapo nchini Afrika kusini kwa ziara ya wiki moja kwa hisani ya Bodi ya Utalii ya Afrika Kusini.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Tanzania na Kenya wakifanya ziara kwenye mapango ya Cradle of Humankind and Wonder,yaliopo jijini Johannesburg,Afrika Kusini mapema leo asubuhi.
Sehemu ya Mabaki ya Reli yaliopo ndani Mapango hayo,yakikadiriwa kuwepo kwa zaidi ya miaka 100.

Moja ya nondo iliyokuwa ikitumiwa na watu wa zamani ndani ya Mapango hayo,ikiwa ni sehemu ya kutimba Mawe ya Chokaa.Waandishi hao wapo nchini Afrika kusini kwa ziara ya wiki moja kwa hisani ya Bodi ya Utalii ya Afrika Kusini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...