Mmoja wa wakazi wa mtaa huu aliye amua kujitoa na kushika kinyesi ili apate kuzibua chemba ambayo ilikuwa inamwaga maji bila kusimama kwa siku Sita katika mtaa wa Mwenge jijini Dar es salaam.
Hali hii ilikuwa mbaya jambo ambalo wananchi waliamua kujitolea na kufanya wawezalo ili kuzibua. Kwa picha za zaidi BOFYA HAPA
Acheni kutupa taka na kuziba hizo chemba la sivyo pafyuuummm mpaka............!
ReplyDeleteInasikitisha. Munispaa haiwezi kiinvest , kampuni ifinguliwe iweke mabomba ya maji safi na ya mavi.
ReplyDeleteHizi ndizo sabsbu za kipindupindu na maradhi na shida mia zongine.
Yakhiiiii