Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akitoa mada katika kongamano la Washauri Wakuu wa Jumuiya ya Ulaya kuhusu mikakati ya uhakika wa upatikanaji wa chakula Afrika. Wa kwanza kushoto kwa Balozi Kamala ni Bi. Imme Scholz Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Ushauri wa Maendeleo ya Ujerumani (DIE)na wa pili ni Bi. Karin Ulmer Mshauri Mkuu wa masuala ya uhakika wa chakula wa Baraza la Makanisa Duniani (APRODEV). Kongamano la kuweka mikakati ya uhakika wa upatikanaji wa chakula Afrika limeandaliwa na Taasisi za Ushauri za Ulaya na limefanyika leo jijini Brussels.
Home
Unlabelled
Balozi Kamala atoa mada kuhusu mikakati ya upatikanaji wa chakula Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...