IMG_4322Kutoka kushoto ni afisa balozi Suleiman Saleh, mkurugenzi wa hazina Alexander Ngusaro , Mkurugenzi CRDB Dr.Charles Kimei, Mkurugenzi wa masoko Tully Esther Mwambapa, Msaidizi wa Dr.Kimei Kenneth Kasigila na msaidizi na Baraka Munisi mtalaam wa mikopo (BOT) wakiwa katika ofisi za ubalozi wa Tanzania Washington Dc jumatano. IMG_4323Dr.Kimei akifanya mahojiano nasi kulia kwake afisa ubalozi Suleiman Saleh na maafisa wa benki hiyo. IMG_4331Akipata wasaa wa kung'aa kushoto mtalaam wa mikopo ya nyumba(BOT) Baraka Munisi a.k.a Kifaru na mkurugenzi wa CRDB Dr.Charles Kimei. IMG_4324Akifanya mahojiano nami Dr.Chrles kimei mkurugenzi CRDB na kulia kwake ni afisa ubalozi Suleiman Saleh. Benki ya CRDB imetangaza kutoa fursa ya kutoa mikopo kwa kununua na kujenga nyumba kwa wateja wake wanaoishi ng'ambo katika mpango maalum ujukanao kama Jijenge. Akizungumza na sauti ya Amerika mkurugenzi wa benki hiyo Dr.Charles Kimei amesema hatua hiyo ni ya kuwasaidia watanzania wanaoishi ng'ambo waweze kujenga zao kwa urahisi Tanzania.Pia alifafanua kuhusu mabadiliko makubwa yanayofanywa kwenye Tanzanite akaunt. Kusikiliza mahojiano hayo bofya hapa. http://www.voaswahili.com/audio/audio/177582.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. what is the website of this initiative?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...