Mashabiki wa timu za Simba na Yanga mkoani Arusha wakipiga jalamba kabla ya kuingia kwenye mpambano wao mkali wa kuchenza mpira wa miguu na mchezo wa kuvuta kamba kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga walishinda.
Kipa wa mashabiki wa Simba wa Arusha akiokoa moja ya hatari langoni mwake kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga ilishinda kwa 1-0.
Mashabiki wa Simba na Yanga mkoani Arusha wakishindana kuvuta kamba kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga walishinda.
Yanga juuuuu!
ReplyDeleteAngalia ktk Mtani Jembe Arusha tunamrarua Mnyama 1-0!
Kwanza ile J2 iliyopita mlirudisha Mabao ma-3 kwa bahati tu!, kama Mpira ungeishia Kipindi cha kwanza mngelala 3-0, lakini mlijikakamua kama mngeweka Mpira kwapani tungekuwa tumewafunga!
Tazameni leo tena Mnyama na Ukali wake amenyweshwa Juisi za embe za Boksi za Azam akalewa chakari kwa utamu wa Juisi akajisahau akajikuta anapigwa Kisu na akaliwa Supu na Azam F.C kwa 2-1!
Yanga oyeeeeeee!!!