Meneja wa Vodacom Tanzania,Chunya Mkoa wa Mbeya Bw. Elisha Tengeni(kushoto)akimkabidhi wakala wa M-pesa wa hiyo,Bw.Damas Mtewele hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya "Mkwanja kwa Wakala"yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.Kampuni hiyo imetenga fedha taslimu kwa mawakala 810 wa M-pesa ambao wamejivunia kiasi cha Shilingi Milioni 81 ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo,hadi sasa kati ya Wakala 270 wamepatikana katika droo iliyochezeshwa leo ikiwa ni wiki ya tatu tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Meneja wa Vodacom Tanzania,Chunya Mkoa wa Mbeya Bw. Elisha Tengeni(kushoto)akimkabidhi wakala wa M-pesa wa Wilaya hiyo Bw.Jerry Bryan, hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya "Mkwanja kwa Wakala"yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.Kampuni hiyo imetenga fedha taslimu kwa mawakala 810 wa M-pesa ambao wamejivunia kiasi cha Shilingi Milioni 81 ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo,hadi sasa kati ya Wakala 270 wamepatikana katika droo iliyochezeshwa leo ikiwa ni wiki ya tatu tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Wakala wa M-pesa wa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya Bw.Jerry Bryan,akiwa ameshikilia hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa kanda hiyo Elisha Tengeni(hayupo pichani)katika Promosheni ya "Mkwanja kwa Wakala"yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.Kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kwa mawakala 810 wa M-pesa ambao wamejivunia kiasi cha Shilingi Milioni 81 ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo,hadi sasa kati ya Wakala 270 wamepatikana katika droo iliyochezeshwa leo ikiwa ni wiki ya tatu tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Meneja wa Vodacom Tanzania,Chunya Mkoa wa Mbeya Bw. Elisha Tengeni(kushoto)akimkabidhi wakala wa M-pesa wa wilaya hiyo,Bw.Peter Maliva hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya "Mkwanja kwa Wakala"yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.Kampuni hiyo imetenga fedha taslimu kwa mawakala 810 wa M-pesa ambao wamejivunia kiasi cha Shilingi Milioni 81 ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo,hadi sasa kati ya Wakala 270 wamepatikana katika droo iliyochezeshwa leo ikiwa ni wiki ya tatu tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...