Bw. Ali mtanda na Bi tatu Burhan wakitoka Elimu  ya Uraia na Uhamiaji kupitia radio Karagwe wakati wa Operesheni Kimbunga Awamu ya pili inayoaendelea . Hawa ni maafisa Uhamiaji na  pia ni wajumbe wa timu ya Habari na Mawasiliano ya Operesheni kimbunga. 
Picha na Zamaradi Kawawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Du mlikua wapi jamani?ama kweli bongo shwari hakuna haja ya kujisumbua hata kama ni professional we jikalie tu ofisi mwisho wa mwezi wakamata chako siku zinaenda, hakuna wa kumuuliza mwenzake wala kuangalia utendaje wa mwenzako pia.Ndio maana huwa tunasema staili ya uwajibikaji wetu ni ya zima moto si endelevu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...