Akina mama waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakibadilishana mawazo.Punguzo la bei linaendelea kwenye maduka mengi ndani ya Shamo Towers,jengo lipo Mbeze Beach ,Bagamoyo Road  karibu na Tangi Bovu.
 Wadau wa mawasiliano nao walikuwepo kutoka huduma kwa wateja wao.
  Watoto wakifurahia michezo mbali mbali waliokuwa wameandaliwa wakati wazee wao wameenda kufurahia punguzo kwenye maduka mbali mbali hapo shamo Towers.
Sehemu ya watu wengi waliomiminika katika hafla ya family festival iliyofanyika mwishoni mwa wiki,Mbezi beach jijini Dar.
 Akina mama wakifurahia jambo kwenye hafla hiyo ya Family Festval.
Wakina mama wakijipumzisha kwenye  mgahawa wa Boogie Woogie.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...