Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu Mara baada ya Sherehe ya kufuata Kitaaluma Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Geofrey Paul Shaidi (wa pili kushoto).
Picha ya pamoja na familia ya Jaji Mstaafu Mhe. Geofrey Shaidi (aliyeketi wa pili kushoto) na Viongozi wa Mahakama na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpa shada la maua, Jaji Mstaafu, Mhe. Geofrey Shaidi mara baada ya kuagwa rasmi Kitaaluma mapema Leo, katika Ukumbi namba 1 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
wadau hebu naomba nielimishwe hapa hii "kuagwa kitaaluma" maana yake ni nini hasa? amestaafu kwa mujibu wa sheria au? Lakini hao majaji huwa wanastaaafu katika umri gani? naona hata hao wanaoaga huyo mwenzao pia miongonimwao wapo wazee ki-umri....hi ikoje hapo?
ReplyDeleteKwa haraka haraka nilidhani mwenye mvi ndie anaestaafu..
ReplyDelete