Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michezi ni mtu mwenyewe binafsi ajitahidi ili awe mchezaji mzuri. Serikali inaweza kusaidia kwa kuweka mazingira bora ya viwanja, uanzishwaji wa ligi, kocha wa taifa na uongozi wa vyama vya michezo. Nchi za Afrika ya Magharibi wachezaji wana bidii wao wenyewe ndio maana wanapata kucheza ligi kubwa duniani. Essien ameumia katika mashindano ya CAF.

    ReplyDelete
  2. Debate nzuri, lakini nina criticism kwa muaandaaji wa debate. Ulitakiwa uongoze debate kwa kuwaongoza wachangiaji badala ya kukaa kimya na kuwaacha wachangiaji wapayuke kama wako katika kijiwe cha kahawa, maana mmoja hajamaliza mwingine karukia na wakati mwingine wanaongea kama kasuku bila kujali wengine wanataka kuchangia.

    ReplyDelete
  3. Viwanja ambavyo navifahamu wakati bado nipo bongo ambavyo kwa sasa havipo tena kutumika kwa michezo ni vifuatavyo,1.Kijitonyama kisiwani kwa Ali maua 2.Sinza mihogoni 3.Sinza small boys 4.Tandale Uzuri/Tandale magharibi 5.Tandale maguniani shule ya msingi kilikua kinatumiwa na Timu iliyokua ikiitwa National enzi hizo.6.Mwananyamala kisiwani 7.Mwananyala A karibu na kwa manjunju 8.Makumbusho, Viwanja hivi wakati huo vilikua vipo busy kwa mpira na vilitumika kuinua vipaji na kuamsha ari ya michezo ktk vitongoji husika.Viwanja hivi kwa sasa havipo tena kwakua vimejengwa aidha nyumba za kuishi au ofisi na wahusika wa kuuzwa viwanja hivi wanauhusiano wa moja kwa moja na chama fulani cha siasa ninaushahidi na hili, kumbuka wakati huo viwanja hivi vikiwa ktk chati tulikua na chama kimoja cha siasa.Kulikua na vipaji kwa kila sehemu vilivyokua viwanja hivi,naweza kuwataja wachezaji waliokua ktk maeneo haya lakini kwa bahati mbaya leo hii wengi wao wameshakua walevi au hata wagonjwa hawawezi tena kushiriki mpira.Huu ni mfano mbaya ambao haupaswi kufumbiwa macho jitihada zifanyike hivi viwanja virudishe.Mchimba kaburi kaingia mwenyewe......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...