Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: KIKOSI CHA YANGA ILIYOKUWA YANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhani wa kwanza kushoto walio simama ni Fred Felex Minziro.
ReplyDeleteHapo kuna waliochuchumaa....Sahau kambi, justin mtekere, john alex, nimesahau jina, salum kabunda, athumani china, fred felix minziro, jina limenitoka, juma pondamali.
ReplyDeleteWaliosimama kushoto.. Goodwin Aswile, issa athumani mgaya, wa kati nimewasahau...mwisho ni Abeid Mziba
Eeee Jwangwani watakumeza mzima mzima kwa kauli yako ya ''Yanga iliyokuwa Yanga'',,,Je ina maana Yanga ya sasa mdebwedo?
ReplyDeleteEheee baada ya pondamali,kizota,minziro,china,baada ya Sahau kambi,ni mtekele,arex luwena,na baada ya hao ambao sio wachezaji ni Abed mziba,haya sasa mjomba michuzi kazi kwako na mm naitaka hiyo the fulanazzz ya blog yako.hapo nakumbuka mziray ndio kocha, mm kwa jina naitwa mdudu kakakuona nipo huku UINGEREZA nawapenda sn wote huko nyumbani mkaee kwa amani na upendo
ReplyDeleteHapana mkuu..Minziro ni wa tatu kushoto walio chuchumaa, pembeni ya Athumani Juma Chama "Jogoo"
ReplyDeleteWaliosimama kuanzia Kushoto,Godwin Aswile Mlimba,Issa Athumani wa Saba ni Abeid Mziba.
ReplyDeletewaliochuchumaa kuanzia Kushoto, Athumani Idd Chama, Fred Felix Minziro, Athumani China, wa Sita ni Aboubakar Salum, na wa Saba ni Justin Mtekere
Kutoka kushoto waliosimama: Godwin Aswile, Issa Athumani, Dotto Mokili, Said Zimbwe "Terry Butcher", Mohamed Rashid, John Bosco, Abeid Mziba, John Manyika (Daktari) na John Mgombelo(Meneja).
ReplyDeleteWaliochuchumaa kutoka kushoto: Juma Pondamali, Athumani Chama "Jogoo", Fred Felix Minziro, Athumani China, Muhesa Kihwelo, Abubakar Salum "Sureboy", John Alex, Justin Mtekere na Sahau Kambi.
By Yanga Damu,
Khamis Pazi
Yanga ya 1989.
ReplyDeleteBy Yanga Damu,
Khamis Pazi
Anony wa kwanza huyo aliyesimama si Minziro. Minziro ni huyo wa Pili aliyechuchumaa hapo kushoto baada ya Athumani Juma Chama 'Jogoo'. Nafikiri baada ya Minziro ni Athumani China. Huyo wa tatu waliosimama kulia ni Abeid Mziba.
ReplyDeleteList ya Yanga damu...Khamis Pazi ndio iko vizuri amewapatia wote!
ReplyDeleteDu kipindi hiko nakumbuka nilikua nakata picha za wachezaji na kubandika ktk kitabu kikuubwa(buku),magazeti yalikua Uhuru,Mzalendo,Mfanyakazi na Daily news ambalo nilikua silisomi zaidi ya kuangalia picha za wachezaji,Mwakani ntatia maguu bongo lazima nipekue pekue ktk makabati labda ntaliona buku langu hahahahahaha,Dah watoto wa enzi hizo sie.
ReplyDeletewaliosimama kutoka kushoto aswile,isa athuman (captain),doto mokili,saidi mwaibambe zimbwe,nimemsahau,john bosco,abeid mziba,dr ben manyika na kiongozo nimemsahau
ReplyDeletewaliochuchumaa kutoka kushoto pondamali,athumani chama,fred miziro,athuman china,mwesa kiwelu,abubakari salum,john alex,justin mtekere na shau kambi.
Khamis Pazi:
ReplyDeleteKwa Jinsi Listi nzima ulivyo ishusha ama kweli wewe ni Yanga wa kiukweli YANGA DAMU inaonyesha UKIKATWA NA KISU DAMU YAKO NI YA RANGI YA NJANO NA KIJANI !
JE UMEWASILIANA NA MKEREKETWA MWENZAKO WA DAR MTU MZIMA ALIYELIA MACHOZI BAADA YA MABAO 5-0 KUFUNGWA NA SIMBA?
pondamali,chama(jogoo)minziro,china,mokili,sureboy,alex,mtekere,sahau kambi.juu,aswile,issa,.....,zimbwe....,bosco,mziba
ReplyDeletekhamis pazi kiboko
ReplyDelete