Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki akiongea na Mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya waliomtembelea Wizarani hapo ili kufahamu Tanzania ina mpango gani wa kuondoa adhabu ya kifo katika sheria zake. Mabalozi hao wamemtembelea Naibu Waziri ikiwa leo tarehe 10, Oktoba ni maadhimisho ya kupinga adhabu ya kifo duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...