Mahujaji kutoka taasisi ya TCDO wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kujiandaa kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz International Airport,Mjini Makka Saudi Arabia wakati wa kurejea nchini baada ya kushiriki ibada ya Hijja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Karibuni nyumbani in shaa Allah mutakuwa mumepata malipo ya hija

    ReplyDelete
  2. Rehema JettaOctober 29, 2013

    MashaAllah

    Mwenyezi Mungu Mtukufu tuwezeshe na sisi tuweze kwenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...