Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati akitolea ufafanuzi misaada aliyoitoa " Nitaendelea kuwa karibu na wana Iringa pale mtakapohitaji msaada wangu nitatoa kupitia posho yangu"
Mbunge Kabati akikabidhi maada wa vitabu vya masomo mbali mbali kwa wakuu wa shule za sekondari jimbo la Iringa mjini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...