Waziri wa nchi ofisi ya rais sera n uratibu Stephen Wassira (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku chakula duniani akijadili jambo na mkuu wa mkoa sa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi wakati wa sherehe hizo zilizofanyika kitaifa jana wilayani Hannang Manyara.
Katibu wa wakuu wa mikoa ambayepia ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema nchimbi (wa pili kushoto) akiserebuka pamoj na watendaji wa wizara ya kiljmo chakula na ushirika, shirika la chakula na kilimo la umoj wa mataifa na viongozi a mkoa wa Manyara wakati wa sherehe za siku ya chakula duniani zilizofanyika kitaifa jana wilayani Hannang.
Kikundi cha burudani cha tarumbeta cha wasichana wa sekondari ya Madunga iliyopo Mbulu Manyara wakitumbuiza hadhara wakati wa sherehe za siku ya chakula duniani iliyofanyika kitaifa wilayani hannang Manyara jana, kundi hilo lilikuwa kivutio kikubwa kwa umahiiri wa kupiga tarumbeta.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Uratibu na Sera Stephen Wasira (katikayi) akipatiwa maelezo kuhusu kilimo bora cha maboga kutoka kwa Bi. Anjelina Ilonga (kulia) wa kikundi cha wakulima wa Mogitu Wilayani Hannang wakati wa maadhimisho ya siku ya chakula Duniani yaliyofanyika kitaifa jana wilayani humo.
Wananchi wa wilaya ya Hannang waliojitokeza kwenye sherehe za siku ya chakula duniani zilizofanyika kitaifa jana Wilayani humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...