![]() |
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene akitembezwa kujionea mazingira ya shule kabla ya kuanza kwa Mahafali ya Darasa la Saba, shule ya Msingi Mtongani, Kibaha Vijijini |
Wahitimu
Mhitimu Halima Ramadhani akikabidhi risala kwa Mgeni Rasmi
Mhitimu Shani Bakari akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...