Samba Mapamgala anavunja mifupa hadi hii leo
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo anka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Ankal,mimi huwa napenda kibao chake kizuri cha Marina.Ankal baada ya heka heka zako za weekend ingia kwenye hii link http://www.deezer.com/en/album/3995671 usikilize vibao vya Them Mushroom wakati huo wakipiga muziki wao kwenye mgahawa wa Carnivore(Nairobi)-Lilikuwa kundi hatari lakini lilikuja kusambaratika mwaka 1992 baada ya mwanamuziki wake muhimu Dennis Kalume kufariki na wengine kuhama bendi.
ReplyDeleteANGALIZO:Similiki hiyo link-Ni kwa ajili ya burudani tu
David V