Mbaraka Mwinshehe hana mfano katika ngoma hii ya 'Tina'
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pozi la Picha la kulala Hahahahah!
ReplyDeleteSi mchezo, Pozi la kulala chini katika majani linawakumbusha watu mbali sana, hiyo nadhani itakuwa miaka ya 1960's hadi 1970's hivi.
Muda unavokwenda mambo mengi yana badilika sana, mfano Wazee wa Kisasa hata uembeaji wao ni wa kisasa!, pozi zao za kisasa!,,,mfano miaka ya 1980's Wazee walikuwa wakitembea kidogo wanadundika !!!
Ni vigumu sana kwa zama hizi mtu kupiga picha akiwa ktk Pozi la kulala kwenye majani!!!