Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard makungwa akimkabidhi Nahodha wa Mchezo wa gofu Tanzania, Akhil Yusufali mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 17.3 za udhamini wa mashindano ya gofu ya kumbukumbu ya Nyerere 'NMB Nyerere Masters Golf Tournament' katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam Jana. Mashindano hayo yatakayoshirikisha wachezaji 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini yatafanyika kesho na kesho kutwa kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Joseph Tango,

Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa akielezea udhamini wa Benki ya NMB kwenye mashindano hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...